Saturday, August 19, 2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI ETDCO 18-08-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Electrical Transmision and Distribution Construction and Maintanance Company (ETDCO) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 30 Agosti, 2023 hadi tarehe 27 Septemba, 2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

CLICK TO SAVE


BOFYA HAPA KUONA


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO 23-09-2023

-MWANDISHI MWENDESHA OFISI   II NAFASI – 1 -AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 5   KUONA NAMNA YA KUTMA MAOMBI BOFYA HAPA...